tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post5508636907240811048..comments2022-03-25T00:06:28.588+03:00Comments on Ujumbe toka Muhunda: Mada yangu ya leo: Tulipie gazeti na kupanga kurasa?Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-81739129500036359922013-02-07T17:30:33.599+03:002013-02-07T17:30:33.599+03:00Mkuu,
Baba Mkwe wangu ni mwanahabari. Nilipokuja ...Mkuu,<br /><br />Baba Mkwe wangu ni mwanahabari. Nilipokuja likizo TZ mwaka 2009 aliniomba nikirudi nimletee magazeti ya kila siku ya TZ. Nikamnunulia magazeti kibao nikamletea.<br /><br />Baada ya siku kadhaa akanialika tupate sip. Baada ya kupata sip za kutosha akaanza kuzungumzia aliyosoma kwenye magazeti na kuniuliza maswali. Baadaye akaanza kuzungumzia aliyoyasoma, mitindo ya uandishi Anonymousnoreply@blogger.com