tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.comments2022-03-25T00:06:28.588+03:00Ujumbe toka MuhundaMadarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.comBlogger71125tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-16256309999471870672015-12-27T12:40:19.646+03:002015-12-27T12:40:19.646+03:00Safi sana...Safi sana...Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/01803914185762773725noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-17861593523387806912015-12-24T23:13:39.406+03:002015-12-24T23:13:39.406+03:00Kusema kweli miongoni mwa vitu vitakavyokwamisha f...Kusema kweli miongoni mwa vitu vitakavyokwamisha falsafa hii ni pamoja na jamii kudhania kuwa hii inawahusu watumishi WA serikali peke yao. Lakini pia wakuu WA idara kutumia mwanya huo kupenyeza chuki zao binafsi na watumishi walioko chini yao na kuwanyanyasa.Ngara IT Solutionshttps://www.blogger.com/profile/09183486413034505724noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-6657772992300078412015-12-01T13:32:39.798+03:002015-12-01T13:32:39.798+03:00good postgood postSelemanhttps://www.blogger.com/profile/02806404955666780685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-78905459961290766412015-11-11T16:53:53.252+03:002015-11-11T16:53:53.252+03:00Ndiyo maana wengine, pamoja na kuwa wanachama wa c...Ndiyo maana wengine, pamoja na kuwa wanachama wa chadema, tumesema lowasa hafai kuwa kiongozi wa taifa hili. Send this word to vincent nyerere who is your brother and the chadema mara chairperson.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-8292844237470686842015-11-11T10:37:18.189+03:002015-11-11T10:37:18.189+03:00Senene hutaga mayai yao hasa hasa kandoni mwa mazi...Senene hutaga mayai yao hasa hasa kandoni mwa maziwa makuu hasa upade wa Magharibi mwa Ziwa Victoria hasa kwenye maeneo ya michanga oevu.
Karibu
William Rutta
Madarakahttps://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-14938525264839956432015-11-03T09:21:21.203+03:002015-11-03T09:21:21.203+03:00Wasiliana na watengenezaji mashine hapa: http://ww...Wasiliana na watengenezaji mashine hapa: http://www.hydraform.com/. Maji unachanganya kidogo sana, kwa kunyunyuzia kidogo tu kwenye mchanganyiko wa udongo na saruji.Madarakahttps://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-5556068667995326552015-11-01T10:43:32.180+03:002015-11-01T10:43:32.180+03:00Mashine ya hayo matofali ni bei ganii
Na pili kip...Mashine ya hayo matofali ni bei ganii
Na pili kipimo cha maji kidogo ni sawasawa na nn??....Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/09346404562179796515noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-90225880650010393372015-01-10T16:29:38.708+03:002015-01-10T16:29:38.708+03:00makala yako ni nzuri sana,ila sijaelewa uliposema ...makala yako ni nzuri sana,ila sijaelewa uliposema hutaga mayai yao ardhini,naomba unifafanulie ni ardhi ipi hasa na mifano ya maeneo husikaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-79368983017903116332015-01-07T16:43:12.731+03:002015-01-07T16:43:12.731+03:00Adili Liana, bei inategemea na eneo na umbali wa s...Adili Liana, bei inategemea na eneo na umbali wa sehemu ya kufyatua matofali kutoka umbali wa kupata vifaa kama saruji, udongo, na maji. Ni nadra kwa maeneo kufanana bei.Madarakahttps://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-80061860316209238122015-01-04T14:16:33.657+03:002015-01-04T14:16:33.657+03:00Ungetuambia inaanzia shilingi ngapi kwa bei ya kaw...Ungetuambia inaanzia shilingi ngapi kwa bei ya kawaida na hupungua kwa kiasi gani kama tofali ni nyingiAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/02338479480737830172noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-91724071734363543602014-08-23T22:53:05.458+03:002014-08-23T22:53:05.458+03:00Kiukweli nimeipenda sana, Tuletee mambo mazuri zai...Kiukweli nimeipenda sana, Tuletee mambo mazuri zaidi ya kiutaliiAMINAhttp://tourism.chatguest.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-66986376574140133932014-07-19T08:37:48.551+03:002014-07-19T08:37:48.551+03:00Hii kweli mpya!!!Hii kweli mpya!!!KAYUhttps://www.blogger.com/profile/11978772648165700011noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-11110168647861006622014-07-16T11:45:56.113+03:002014-07-16T11:45:56.113+03:00mkuu hiyo unazungmzia kwenye kuzungumza, ila kweny...mkuu hiyo unazungmzia kwenye kuzungumza, ila kwenye kuandika ni tatizo kubwa sana niliwa kwenda kwenye hotel moja nzuri kabisa Arusha public relations officer wake ambaye ni binti wa kichagga anaflow Kiingereza huwezi amini kwamba ni mbongo lakini ilipokuja kwenye kuandika akaniandikia kwamba this is the WRITE place to bring your visitors, you are most welcome!Elias Ibrahim Mhegerahttps://www.blogger.com/profile/06250202833105074921noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-8833491461717021192014-05-20T16:01:42.057+03:002014-05-20T16:01:42.057+03:00Ndege kishada Ndege kishada Swahili Trainers and Translators CO LTDhttps://www.blogger.com/profile/16317560405214861202noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-24285187008588106462014-05-20T15:57:40.862+03:002014-05-20T15:57:40.862+03:00Inasikitisha brother kilio cha mnyonge machozi uen...Inasikitisha brother kilio cha mnyonge machozi uenda na majiSwahili Trainers and Translators CO LTDhttps://www.blogger.com/profile/16317560405214861202noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-12643325433374049062014-02-18T13:02:13.133+03:002014-02-18T13:02:13.133+03:00Karibu sana.Karibu sana.Madarakahttps://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-721198909833137772014-02-17T17:40:12.705+03:002014-02-17T17:40:12.705+03:00Mkuu story imetulia sana hiyo,
Mkuu story imetulia sana hiyo,

Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-29216614969500938692013-07-12T16:01:27.615+03:002013-07-12T16:01:27.615+03:00du!du!Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/07412029950656790399noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-3458907168533833032013-05-24T12:10:48.736+03:002013-05-24T12:10:48.736+03:00Kweli Mada, ila kwa kuwa anakuja na msafara wa wat...Kweli Mada, ila kwa kuwa anakuja na msafara wa watu 1,200 wakiwemo wafanya biashara 500. Ingekuwa vizuri hao wafanya biashara ndiyo wakawa Dar es salaam na msafara wake ukawa Dodoma, na hata kutembelea Butiama.Gerald Nyererehttps://www.blogger.com/profile/00625550134391528740noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-81739129500036359922013-02-07T17:30:33.599+03:002013-02-07T17:30:33.599+03:00Mkuu,
Baba Mkwe wangu ni mwanahabari. Nilipokuja ...Mkuu,

Baba Mkwe wangu ni mwanahabari. Nilipokuja likizo TZ mwaka 2009 aliniomba nikirudi nimletee magazeti ya kila siku ya TZ. Nikamnunulia magazeti kibao nikamletea.

Baada ya siku kadhaa akanialika tupate sip. Baada ya kupata sip za kutosha akaanza kuzungumzia aliyosoma kwenye magazeti na kuniuliza maswali. Baadaye akaanza kuzungumzia aliyoyasoma, mitindo ya uandishi Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-60789623364485958092013-02-02T17:11:20.834+03:002013-02-02T17:11:20.834+03:00Asante, tunaendelea kujifunza.Asante, tunaendelea kujifunza.Madarakahttps://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-25003070861718799412013-01-31T22:47:43.106+03:002013-01-31T22:47:43.106+03:00Asante sana, tazama hapa: http://kamusi.org/node/2...Asante sana, tazama hapa: http://kamusi.org/node/259757

Karibu sana kuchangia kwenye Kamusi! Lakini "definition" ya neno la Kiswahili ni maana yake KWA KISWAHILI. Kwa maana yake kwa Kiingereza, ni lazima kuchagua "Translation".

(Bado hatujapata nafasi kuweka maelezo ya tovuti kwa Kiswahili, kuna kazi mno...)Martin Benjaminhttps://www.blogger.com/profile/05889503787519222057noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-59693296937990183902013-01-12T18:15:44.225+03:002013-01-12T18:15:44.225+03:00Hapa nimepata jawabu la ile kauli iliyotibua hasir...Hapa nimepata jawabu la ile kauli iliyotibua hasira wakati wa kampeni za ugombezi ubunge wa Arumeru Mashariki.Subi Nuktahttps://www.blogger.com/profile/01076447163143596978noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-16781603185571071092012-12-24T14:48:13.994+03:002012-12-24T14:48:13.994+03:00Tofauti na hoja yangu kuwa kikwazo cha kuvamia Syr...Tofauti na hoja yangu kuwa kikwazo cha kuvamia Syria ni ukubwa wa majeshi yake, kuna mtaalamu wa masuala ya usalama anayeeleza hapa http://www.stratfor.com/weekly/jihadist-opportunities-syria kuwa kinachowaogopesha wakubwa ni uwezekano wa uvamizi wa Syria kijeshi kuchochea mazingira ambayo yatavuruga amani katika eneo kubwa kuvuka mipaka ya Syria yenyewe na hatari ya kuingiza mataifa mengine Madarakahttps://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-27433853469044233882012-09-18T23:18:52.580+03:002012-09-18T23:18:52.580+03:00Baadhi ya wakazi wa Butiama wanaamini kuwa kwa sab...Baadhi ya wakazi wa Butiama wanaamini kuwa kwa sababu ilianguka pembeni ya msitu wa Muhunda, sehemu inapofanyika mitambiko ya jadi ya kabila la Wazanaki, basi iliashiria kuwa vita dhidi ya uvamizi wa majeshi ya Idi Amin tungeshinda.Madarakahttps://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com