tag:blogger.com,1999:blog-54466325981807644562024-03-05T17:58:22.649+03:00Ujumbe toka MuhundaMadarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.comBlogger335125tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-40305526458015129472018-11-09T00:30:00.000+03:002018-11-09T00:30:04.391+03:00Leo ni kumbukumbu ya harusi ya Milton Obote na Maria Kalule
Siku kama ya leo, miaka 55 iliyopita, Apollo Milton Obote,
Waziri Mkuu wa Uganda alifunga ndoa na Bi Maria Kalule kwenye sherehe
iliyohudhuriwa na wageni 20,000.
Bibi harusi alikuwa ni katibu muhtasi kwenye ubalozi wa
Uganda kwenye Umoja wa Mataifa, jijini New York.
Harusi yao ilifungwa na Askofu wa Uganda, Dk. Leslie Brown
kwenye Kanisa la Namirembe. Wakati wa ibada ya ndoa, Askofu Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-22444020892841432502018-03-30T14:25:00.000+03:002018-03-30T14:28:41.595+03:00Jinsi ya kutamka kwa usahihiKuna wengi tunapata shida kubwa ya kutamka kwa usahihi maneno na majina - hasa yale ya lugha za kigeni. Au kurudia kuiga jinsi wageni wanavyotamka kwa makosa maneno ya Kiswahili, au majina yetu ya asili.
Siku hizi siyo lazima kujifunza lugha ili kuweza kutamka vyema majina na maneno yanayotokana na lugha za kigeni.
Unaweza kutumia Google Search ukaandika neno unalotaka kujifunzaMadarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-2236668478148653242018-03-23T19:15:00.001+03:002018-03-23T19:15:34.126+03:00Ukitaka kula usiende jikoniNina desturi ya kununua mahindi ya kuchoma yanayouzwa mitaani. Nilichoshuhudia miezi kadhaa iliyopita kimenipunguzia hamu ya kula tena mahindi hayo.
Nilisogelea mchoma mahindi na kuchagua mhindi uliyokuwa tayari juu ya jiko la mkaa. Baadaye kidogo, mmoja wa mahindi aliyokuwa akichoma ulianguka chini na kuseleleka mbali na alipokaa.
Alimtuma mwanae kuuokota chini na akaurudisha jikoni kuendelea Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-53599441081225662022018-03-09T01:26:00.000+03:002018-03-09T01:26:02.717+03:00Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015 una hitilafu kubwa
Hii ni moja ya makala zangu zinazochapishwa kwenye safu yangu iitwayo Ujumbe Kutoka Muhunda ndani ya gazeti la Jamhuri. Ilichapishwa tarehe 14 Aprili 2015.
*************************************
Nilipata fursa ya
kushuhudia kwenye runinga majadiliano ya muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao
2015. Kwa mtazamo wangu sheria ikianza kutumika kutakuwa na ongezeko kubwa la watumiaji
wa mawasiliano,Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-55203262790208939002018-03-02T01:00:00.000+03:002018-03-05T22:19:03.172+03:00Hii ndiyo mila ya Kizananki ya kurudisha mahariMiaka ya hivi karibuni baada ya kufariki mmoja wa shangazi zangu, nilipigiwa simu na baba yangu mdogo kunipa taarifa ya msiba na kunitaka nifike kwenye msiba.
Nilichelewa kidogo kufika kwenye msiba na aliendelea kunipigia simu mara kwa mara kunihimiza nifike mapema kwenye msiba. Alisema: "huu ni msiba wenu, njoo haraka!"
Sikuelewa maana ya ule kuwa "msiba wetu" mpaka baadaye.
Katika mila Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-23132234796906591952017-12-19T10:22:00.001+03:002017-12-20T05:50:12.334+03:00Hili sijalielewa hata kidogo
Imefika wakati Jeshi la Polisi libadilike kidogo.
Kuna umuhimu wa polisi kuboresha huduma kwa tunaofika kwenye vituo vya polisi ili tupate huduma inayoridhisha. Nazungumzia wahalifu na wasiyo wahalifu. Wote tunastahili kupewa huduma ya kuridhisha.
Hivi karibuni, nikiwa naendesha gari, nilisimamishwa Singida mjini na afisa usalama barabarani kwa kosa la kutosimama kwenye kivuko cha watembea Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-74275086985026136072017-11-18T17:49:00.000+03:002017-11-18T17:57:44.559+03:00Njia kuu mbili za kuumbuliwa na matusi ya mtandaoNjia kuu mbili za kuumbuliwa na matusi ya mtandao ni adhabu ya sheria, na kukutana uso kwa uso na unayemtukana.
Sheria ya Makosa ya Mtandao ya 2015 ni sheria ambayo inaainisha matusi kama mojawapo ya makosa ambayo yanaweza kumtia mtu hatiani kwa yale anayoyaandika au kwa picha anazoweka mtandaoni. Kuna baadhi ya watu, au kwa kutokujua sheria au kwa makusudi, tayari wametiwa Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-34092991025887594152017-11-11T15:30:00.000+03:002017-11-11T15:30:58.522+03:00Mimba zisizoisha za Chausiku SuleimanZaidi ya miaka sita iliyopita nilipata fursa ya kumtembelea mama mmoja, Chausiku Suleiman, anayeishi Maji Chai, jirani na Tengeru kwenye barabara kuu ya kutoka Moshi kwenda Arusha. Alinipa simulizi za ajabu. Yeye anapata ujauzito kila anapojifungua, bila hata kukutana na mume wake.
Nilipoonana naye alikuwa na umri wa miaka 47 na alikuwa na watoto 16 aliyewazaa ndani ya kipindi cha Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-60531417588221711382017-09-02T18:20:00.000+03:002017-09-02T18:20:47.744+03:00Hivi Mwalimu Nyerere alikuwa Yanga au Simba?Hivi Mwalimu Nyerere alikuwa Yanga au Simba? Hili ni swali ambalo nimewahi kuulizwa sehemu ambayo sikutarajia kabisa kuulizwa.
Mwaka 2012, nikiwa kwenye moja ya misafara yangu ya kukwea Mlima Kilimanjaro nikiongozana na walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Loreto ya Mwanza, nilipokea simu wakati tukitembea kati ya kambi ya Horombo na kambi ya Kibo.
Aliyenipigia simu Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-73787330913208619382017-08-25T10:40:00.000+03:002017-08-25T10:40:04.505+03:00Umuhimu wa wagombea huru sasa umejidhihirisha
Hii ni makala yangu ya tarehe 11 Agosti 2015 kwenye safu yangu inayoitwa Ujumbe toka Muhunda ndani ya gazeti la Jamhuri linalochapishwa kila Jumanne.
******************************************
Kama unahitajika ushahidi kuwa upo umuhimu wa kuruhusiwa kwa
wagombea huru ndani ya Katiba ya Tanzania, basi huo ushahidi umejitokeza baada
ya matukio ya hii karibuni yaliyomo ndani ya siasa za Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-31211363400231381582017-08-19T12:23:00.001+03:002017-08-19T12:27:23.527+03:00Simulizi za Samora Machel, rais wa kwanza wa MsumbijiMiaka kadhaa iliyopita nilihudhuria mkutano uliyoandaliwa jijini Maputo Msumbiji na muungano wa vyama vya wanajeshi na wapiganaji wa zamani walioshiriki vita mbalimbali duniani. Chama chao kinaitwa Worlds Veterans Federation.
Katika moja ya hafla zilizoandaliwa na Rais wa Msumbiji wa wakati huo Armando Guebuza, nilipata fursa ya kukaa na mzee mmoja mpiganaji wa zamani wa jeshi la Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-50324103405336013592017-08-05T17:03:00.005+03:002017-08-05T17:17:57.069+03:00Baraka Elias, Mtanzania mrefu kuliko Watanzania woteNimewahi kuonana na Baraka Elias, Mtanzania mrefu kuliko Watanzania wote, alipotembelea Butiama mwaka 2012. Ana urefu wa mita 2.20 na umri wa miaka 27.
Kwenye picha juu ni yeye pamoja na Notburga Maskini anayeongea naye, kushoto. Notburga tumewahi kuongozana naye kwenye moja ya misafara yangu ya kukwea Mlima Kilimanjaro.
Taarifa nyingine za Baraka Elias hizi hapa (kwa Kiingereza):
Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-74899133069410438382017-07-28T06:47:00.000+03:002017-07-28T06:47:14.527+03:00Afrika tunaibiwa sana, tena sana
Hii ni makala yangu ya tarehe 18 Julai 2017 kwenye safu yangu inayoitwa Ujumbe toka Muhunda ndani ya gazeti la Jamhuri linalochapishwa kila Jumanne.
******************************
Taarifa iliyotolewa hivi karibuni na shirika lisilo la
kiserikali Global Justice Now inaeleza jinsi gani bara la Afrika linavyoibiwa
rasilimali yake.
Ripoti hiyo, inayoitwa Honest Accounts 2017, inaeleza kuwa
Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-65984711613665135082017-07-21T10:18:00.002+03:002017-07-21T10:28:04.657+03:00Mamlaka ya Mapato Tanzania yawageukia wauza speaNimesikia taarifa ya habari asubuhi hii kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania wameanza kukagua maduka ya wauza spea za magari.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Mamlaka inachunguza bidhaa hizo zilizopo madukani ili kupata uthibitisho wa wenye maduka kuwa wamepata hizo bidhaa kwa njia za halali.
Kwa muda mrefu inaaminika kuwa baadhi ya wenye maduka yanayouza spea za magari wananunua spea hizo kutoka kwa Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-56576948357631089642017-07-14T09:38:00.000+03:002017-07-14T09:38:55.733+03:00Simulizi za Jaffar Idi AminHii simulizi nilipewa na Jaffar Idi Amin, mtoto wa kiume wa aliyekuwa kiongozi wa Uganda kati ya mwaka 1971 hadi 1979, Idi Amin Dada.
Anasema kuna siku alikuwa kwenye matembezi kwenye jiji la Kampala akakuta gari aina ya Volkswagen imeegeshwa na akasimama kwa muda mrefu akiiangalia kwa sababu aliitambua kuwa ilikuwa gari ya zamani ya baba yake.
Akiwa anaiangalia akatokea mtu na kumsalimia na Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-47391906474605128302017-07-01T18:03:00.001+03:002017-07-01T18:03:22.256+03:00Watoto wa mjini nimewakubaliNimejifunza siku chache zilizopita kuwa mtoto anayeishi mjini ni tofauti sana na yule anayeishi kijijini. Wa mjini wajanja.
Nilikuwa kwenye mitaa ya Kariakoo hivi karibuni nikaamkiwa na binti mdogo aliyevaa baibui niliyemkadiria kuwa na umri usiozidi miaka saba. Aliniomba msaada wa pesa kwa ajili ya mama mlemavu aliyekuwa kwenye kiti cha walemavu upande wa pili wa barabara.
Nilitoa shilingi 5,000Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-65041940093325066712017-04-07T14:37:00.003+03:002017-04-07T14:37:37.566+03:00Bila Karume hakuna TanzaniaBila yeye hakuna Tanzania. Ni maneno ambayo Mwalimu Nyerere aliyatamka akizungumiza juu ya masuala mbalimbali, pamoja na chimbuko la muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Nachapisha tena makala iliyochapishwa tarehe 26 Aprili 2016 kwenye safu yangu "Ujumbe toka Muhunda" ndani ya gazeti la Jamhuri. Katika makala hiyo narudia ukweli ambao unasahauliwa, ya kuwa wazo la muungano ni wazo la Sheikh Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-80691104894504751442017-04-02T16:08:00.000+03:002017-04-02T16:08:13.362+03:00Tumbili wa MwitongoBaadhi ya wanyama wanaopatikana kwa wingi eneo la Mwitongo, kijijini Butiama, ni tumbili. Ni wanyama wanaosumbua binadamu kwa kushambulia mazao ya kilimo, au baadhi ya vyakula vinavyohifadhiwa na binadamu iwapo tahadhari hazichukuliwi kulinda vyakula hivyo.
Kwa kawaida huogopa binadamu, lakini wanayo hulka ya kuzowea binadamu iwapo hawatishiwi usalama wao. Kwenye video, chini, ni mmoja wa Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-71963826462913527472017-03-21T13:24:00.000+03:002017-03-21T13:24:16.168+03:00Tanzania ni nchi nzuri sanaTanzania ni nchi nzuri sana. Hakuna ubishi juu ya hoja hii.
Lakini inahitaji fursa ya kutoka sehemu moja na kuzunguka maeneo mbalimbali ya Tanzania ambayo yanavutia kwa mandhari na vivutio mbalimbali vya asili. Ukibaki sehemu moja tu huwezi kufahamu juu ya ukweli huu.
Kama huna hiyo fursa siyo kosa lako, lakini kama unayo fursa na uwezo basi huna budi kuzunguka na kuifahamu vyema Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-20751684236455097532017-03-19T15:38:00.000+03:002017-03-19T15:38:23.337+03:00Unafahamu masuala haya 5 kuhusu Mwitongo?Unafahamu masuala haya 5 kuhusu Mwitongo?
Mwitongo ni eneo la kijiji cha Butiama alipozaliwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, rais wa kwanza wa Tanzania tarehe 13 Aprili 1922. Aidha, ni eneo alipozikwa tarehe 23 Novemba 1999.
Yafuatayo ni masuala matano ya Mwitongo ambayo pengine huyafahamu.
1. Ajali ya ndege
Mwaka 1978, baada ya majeshi ya Idi Amin Dada kiongozi wa kijeshi wa Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0Butiama, Tanzania-1.7685179387242826 33.969383239746094-1.8002599387242826 33.929042739746095 -1.7367759387242827 34.009723739746093tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-42608755782254934492016-12-30T01:46:00.000+03:002017-08-19T12:18:59.131+03:00Hii ndiyo redio ya Mwalimu Nyerere 'enzi za Mwalimu'<!--[if gte mso 9]> Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE <![endif]--><!--[if gte mso 9]>Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-28871096553323484952016-12-14T18:13:00.000+03:002016-12-14T18:13:10.277+03:00Fidel Castro katoa mchango muhimu Afrika; tuisome historia
Ukisikiliza
sehemu kubwa ya maoni ya vyombo vya habari vya nchi za Magharibi juu ya kiongozi
wa Cuba Fidel Castro, utaafiki kuwa hana mchango wowote wa maana kwa binadamu wenzake.
Inahijati kujikumbusha kidogo sehemu ya historia ya ukombozi wa bara la Afrika ili
kupata picha tofauti.
Castro,
kiongozi wa Cuba kwa karibia miaka 50, amefariki hivi karibuni na kuzikwa
jijini Havana. Ni aina ya Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-75241929064668762772016-12-13T23:56:00.000+03:002016-12-14T00:00:27.187+03:00Lugha yetu KiswahiliKiswahili lugha nzuri, lakini hutatanisha wengi.
Siku moja nikiwa safarini nilijikuta kwenye mgahawa wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Nilikuwa nimewahi asubuhi mapema siku hiyo nikaondoka Arusha bila kupata staftahi, au kifungua kinywa.
Nilipovuka eneo la ukaguzi la maafisa usalama na kuingia kwenye ukumbi wa abiria wanaojiandaa kupanda ndege nikawahi kwenye mgahawa na Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-61308054024589320172016-11-20T13:13:00.000+03:002016-11-20T13:18:22.295+03:00Rais Magufuli na ngoma za Ikulu: utamaduni unadumishwaDesturi ya kupokea mgeni mashuhuri kwa kupiga ngoma ipo miongoni mwa watawala wa makabila mengi ya Tanzania.
Enzi za tawala za kitemi, hiyo ndiyo ilikuwa desturi. Mgeni, hasa yule ambaye alikuwa na hadhi ya utawala kama mwenyeji wake, alipigiwa ngoma za mwenyeji wake. Ni ngoma ambazo zilisikika kwenye himaya ya mtemi mwenyeji na zilisambaza taarifa ya kuwepo kwa Madarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0Butiama, Tanzania-1.7669836 33.969427600000017-1.7987256 33.929087100000018 -1.7352416000000002 34.009768100000016tag:blogger.com,1999:blog-5446632598180764456.post-65244225836387336232016-11-10T16:47:00.001+03:002017-10-08T14:52:45.684+03:00Mbuga ya Serengeti inavyoonekana juu ya Mlima BaliliMkoa wa Mara una vivutio vingi vya utalii, na mojawapo ya vivutio hivi ni Mlima Balili uliyopo Wilaya ya Bunda.
Kutoka juu ya Mlima Balili kuna mojawapo ya mandhari nzuri katika eneo hili. Kwenye picha, upande wa kushoto ni Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Juu kidogo ya picha hii unaoenakana Mto Grumeti ambao ni mojawapo ya mito inayotiririka ndani ya Hifadhi ya Serengeti na kuishia ndani yaMadarakahttp://www.blogger.com/profile/14266253025401128699noreply@blogger.com0