Israel Sekirasa, kushoto, akiweka sahihi kitabu cha wageni kwenye Maktaba ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere |
Wednesday, August 4, 2010
Mkurugenzi Mkuu wa SUMATRA ametembelea Butiama leo
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafirishaji, SUMATRA, Israel Sekirasa, leo ametembelea Butiama, akiongozana na Tumaini Silaa, Meneja wa Huduma za Sheria wa SUMATRA.
Akiwa Butiama alitembelea vivution mbalimbali vya Butiama, ikiwa ni pamoja na maktaba ya Mwalimu Nyerere, Makumbusho ya Mwalimu Nyerere, pamoja na kuzuru kaburi la Mwalimu Nyerere.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
Swali: hivi kutembelea mahali hapo kuna kiingilio?
Wageni wote wanapaswa kupitia Makumbusho ya Mwalimu J.K. Nyerere, iliyopo hapa Butiama na ambayo iko chini ya mamlaka ya Makumbusho ya Taifa. Huko mgeni analipia kiingilio, lakini anatembezwa mpaka eneo la kaburi la Mwalimu Nyerere.
Nikiwepo mimi, nitakutembeza kwenye maktaba yake ya vitabu zaidi ya 8,000.
I hope nitatembelea hvi karibuni Mungu akipenda.
Post a Comment