Dunia inachukuwa mwaka mzima, siku 365, kulizunguka jua. Mwaka mzima wa Mercury unachukuwa siku 88 tu. Lakini siku moja ya Mercury ni suala lingine. Siku nzima hapa duniani (au mzunguko mmoja wa dunia) inachukuwa saa 24. Siku nzima, au mzunguko mmoja, kwenye sayari ya Mercury unachukuwa siku 59 za hapa duniani.
Mercury: sayari ndogo kuliko zote kwenye mfumo wa Jua na sayari zake. Picha kwa hisani ya NASA. |
Wazo kuwa kuna viumbe kama binadamu wanaweza kuishi kwenye mazingira ambapo mawio mpaka machweo ni siku 59 inaibua changamoto za aina yake.
No comments:
Post a Comment