Wakazi wa kijiji cha Butiama walikarubisha Mwaka Mpya, 2011, kwa sherehe ya kukata na shoka iliyofanyika kwenye bwalo la Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), eneo la Mwitongo. Picha hizi zinaonyesha mambo yalivyokuwa:
|
Nashon Jirabi, kulia, akisubiri Mwaka Mpya, muda mchache kabla ya Mwaka Mpya kuanza |
|
Kutoka kushoto - kulia: Nashon Jirabi, Charles John, na Frank Peter |
|
Mduara pia ulichezwa |
|
Mpiga picha mashuhuri wa Butiama, Masumbuko Joseph, akipumzika baada ya kupiga picha nyingi kwenye sherehe |
|
Pongezi za Mwaka Mpya kwa wageni wa meza kuu |
No comments:
Post a Comment