Mabondia Mbwana Matumla (kushoto) na Mussa Sunga (kulia) wakipigana wakati wa
mazoezi ya kambi ya Ilala Dar es salaam hivi karibuni. Kulia ni kocha Mohamedi
Chipota.
Matumla anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa dhidi ya Francis
Miyeyusho litakalofanyika mwishoni mwa mwezi huu.(Picha na habari kwa hisani ya
www.superdboxingcoach.
|
Monday, October 10, 2011
Mbwana Matumla ajiandaa kwa pambano dhidi ya Francis Miyeyusho
Labels:
michezo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment