Muda si mrefu uliyopita, Kelvin Bernard, wa pili toka kulia kwenye picha hii hapa chini,
pamoja na wanafunzi wenzake Benedicto David, Raphael
Nenebwa, and Kelvin Ryoba toka Mwanza walitembelea Butiama kwa ajili ya kukamilisha somo lao kuhusu Mwalimu Nyerere.
Walifanya utafiti wao kwenye Makumbusho ya Mwalimu Nyerere, kwenye maktaba ya Mwalimu Nyerere, na kwenye makazi ya Mwalimu Nyerere yaliyopo Mwitongo, Butiama.
No comments:
Post a Comment