Rais wa shirikisho la ngumi la IBF Daryl Peoples, katikati, akiwa amesimama na Rais wa IBF Afrika, Mashariki ya Kati na Ghuba ya Uajemi, Onsemo Ngowi, kulia, pamoja na promota maarufu wa ngumi za kulipwa toka Thailand, Jimmy Chaichotchuang, walipotembelea Pearl Harbour katika kisiwa cha Honolulu.
Wanahudhuria kikao cha mwaka cha IBF ambacho kinafanyika huko Honolulu na kitamalizika leo.
Saturday, June 2, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment