South Africans mourn the death of the late former President Nelson Mandela, 10 Dec 2013, a photo by GovernmentZA on Flickr.
Katika maeneo mbali mbali nchini Afrika Kusini wananchi wamejitokeza kuweka sahihi na kuweka kumbukumbu baada ya kifo cha Mzee Nelson Mandela, aliyefariki tarehe 5 Desemba 2013 baada ya kuugua kwa muda mrefu.Kwenye picha (juu) wananchi wa Afrika Kusini waliopo Johannesburg wakiandika kwenye bango la kumbukumbu.
Mzee Mandela atazikwa tarehe 15 Desemba 2013.
No comments:
Post a Comment