Tembelea Butiama

Tembelea Butiama

Karibu Butiama / Welcome to Butiama

Karibu Butiama / Welcome to Butiama

Kurasa Muhimu

Wednesday, May 9, 2012

Bondia Selemani Kidunda afuzu kushiriki michezo ya Olimpiki ya London

Pichani, mwenyekiti wa chama cha ngumi za ridhaa Tanzania, Michael Changarawe, kushoto, akimpongeza bondia Selemani Kidunda kwa kufuzu kushiriki michezo ya Olimpiki ya London Uingereza akiiwakilisha Tanzania.

Michezo ya Olimpiki itachezwa jijini London kuanzia tarehe 27 Julai hadi 12 Agosti, 2012.

Picha na habari kwa hisani ya superboxingcoach.

1 comment:

Madaraka said...

Kuna habari hapa http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=41250 ambazo zinaeleza kuwa hakuna bondia aliyefuzu kushiriki kwenye michezo ya Olimpiki. Hata hivyo habari zinafafanua kuwa kuna uteuzi wa mzunguko wa pili ambao ungefanyika kuwateua mabondia ambao walishindwa lakini wamepewa nafasi ya kushiriki kwa kuwa wameonyesha uwezo mzuri.

Yawezekana kuwa Kidunda aliteuliwa katika huu mzunguko wa pili.