Kambi ya Barafu ya Mlima Kilimanjaro iko usawa wa Mita 4,800 juu ya usawa wa bahari. Ni kutokea kambi hii ndipo wengi wanaoelekea kilele cha Uhuru huanza safari yao saa 5 usiku.
Safari ya kufika kileleni hukamilika kati ya saa 12:00 alfajiri hadi saa tatu asubuhi, ikitegemea kasi ya mwendo.
|
Vibanda vya mviringo vya wahifadhi vilivyopo Kambi ya Barafu. |
Vibanda vya mviringo katikati ni vya wahifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro, sehemu ambapo kila mgeni hujisajili anapowasili kambini.
No comments:
Post a Comment