Tembelea Butiama

Tembelea Butiama

Karibu Butiama / Welcome to Butiama

Karibu Butiama / Welcome to Butiama

Kurasa Muhimu

Wednesday, January 9, 2013

Wageni wa Butiama: Mhe. Benjamin William Mkapa

Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa ametembelea Butiama mara nyingi, kabla na baada ya kustaafu kwake kama Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Kwenye picha hii ilikuwa mara yake ya mwisho kutembelea Butiama alipohudhuria mazishi ya Mzee Josephat Kiboko Nyerere, mdogo wake Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mzee Kiboko ni baba mzazi wa mbunge wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere (CHADEMA).

1 comment:

Subi Nukta said...

Hapa nimepata jawabu la ile kauli iliyotibua hasira wakati wa kampeni za ugombezi ubunge wa Arumeru Mashariki.